ZEE CUTE Atoa sababu ya KUJITENGA na HARMONIZE/ Ugomvi na GIGY MONEY "ANAIGIZA TUNACHUKI"

M


sanii wa muziki kutoka nchini Tanzania ZEE CUTE amefunguka sababu za kutokuwa karibu na Harmonize ambaye ni msanii wanaotoka nae Mkoa mmoja wa Mtwara. Pia amezungumzia ugomvi wake na Gigy Money ambao ulipelekea mpaka kurushiana ngumi

VIDEO: